Suivant

Jopo la majaji watakaosikiza kesi tano zinazopinga kubanduliwa kwa naibu rais Gachagua

13/10/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Jaji mkuu Martha Koome sasa anatarajiwa kubuni jopo la majaji watakaosikiza kesi tano zinazopinga kubanduliwa kwa naibu rais Rigathi Gachagua. Kulingana na jaji wa mahakama kuu lawrence mugambi, suala la aina hii likiwa la kwanza humu nchini chini ya katiba ya mwaka wa 2010, ipo haja ya utataribu kufuatwa na hasa umakini kwani kutapeana mwelekeo wa kesi kama hizo katika miaka ijayo.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant