Suivant

Jubilee yasema haitahusika katika machakato wa kumng'atua naibu rais Rigathi Gachagua.

01/08/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Chama cha Jubilee kimesema kuwa hakitahusika kivyovyote vile katika machakato wa kumng'atua naibu rais Rigathi Gachagua. Akizungumza na wanahabari katibu mkuu wa chama hicho Jeremiah Kioni amesema kuwa mchakato huo ni wa kuzubaisha taifa wakati ambapo maswala muhimu yanapaswa kuangaziwa. Kioni amesema kuwa Jubilee na Azimio wameafikiana kuwa mchakato huo utaungwa tu mkono ikiwa pia utamhusisha rais William Ruto....

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant