Suivant

KAGAME ASHINDA KWA ASILIMIA 99.5% UCHAGUZI RWANDA | WALIO MALIZA CHUO KUJITOLEA KABLA YA KUAJIRIWA

16/07/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Rais wa Rwanda ambaye amegombea tena Urais akitetea kiti chake kupitia Chama cha RFP, Paul Kagame ameshinda tena kiti hicho baada ya kupata kura 7,099,810 sawa na asilimia 99.15 ya kura zote zilizopigwa. Wagombea wenzake wawili Frank Habineza na Philippe Mpayimana wameachwa mbali huku Frank amepata kura 38,301 sawa na asilimia 0.53 na Mpayimana amepata kura 22,753 sawa na asilimia 0.32. Lugete Mussa Lugete, Mchambuzi wa masuala ya Siasa akiuchambua ushindi huu

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant