Suivant

Kalonzo achoshwa na kigeugeu cha ODM

11/08/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka ametaka chama cha ODM kijielezeipasavyo kuhusu msimamo wao. Kalonzo aliyefika katika kaunti ya Kiambu kwa ibada amesema kinara Raila Odinga na wenzake wa chama cha ODM watangaze kama wako pamoja na vijana au serikali kwani hakuna uwezekano wa kuwa katikati. Kalonzo sasa anataka vijana wa Gen-Z kukagua kandarasi zinazotolewa na serikali.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant