Kalonzo amtetea Rais mstaafu Uhuru Kenyatta baada ya mkutano wake wiki iliyopita na Rais Ruto
0
0
16/12/24
Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka amemtetea rais mstaafu Uhuru Kenyatta baada ya mkutano wake wiki iliyopita na rais Wiliam Ruto. Akizungumza katika ibada ya kanisa eneo la gatundu, kalonzo alidokeza kukutana kwao kuna umuhimu mkubwa kwa taifa, akipuuzilia mbali tetusi za wawili hao kufanya kazi kwa pamoja. Kalonzo vaidha alitilia shaka uwezekano wa rais William Ruto kutekeleza aliyoshauriwa kwenye kikao hicho. ian keitanny ana maelezo zaidi. .
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par