Suivant

Kalonzo apinga ushirikiano wa serikali na Adani

26/09/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka na mwenzake wa DAP-K Eugene Wamalwa wameapa kukita kambi mahakamani kupinga miradi kadhaa ya serikali ya rais William Ruto hasa iliyo na utata kuhusu kandarasi kama vile makubaliano na Adani. Kwa sasa viongozi hao wawili sasa wamejiunga na kesi ya kupinga ubomoaji wa makazi ya soweto eneo bunge la Kibra kwa ajili ya ujenzi nyumba za kisasa

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant