Suivant

Kalonzo Musyoka asisitiza muungano wa Azimio ungali imara

26/07/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Muungano wa Azimio ukiongozwa na Kalonzo Musyoka umemshtumu rais William Ruto kwa madai ya kuvamia upinzani nje na ndani ya bunge. Muungano huo umesema kuwa viongozi walioteuliwa kwa nyadhifa za uwaziri na rais Ruto hiyo jana ulitokana na uamuzi wa kibinafsi na wala sio msimamo wa muungano huo.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant