Suivant

Kasarani Group of Schools yakanusha madai ya kushindwa kutimiza viwango vya usalama

05/12/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Kasarani group of schools imekanusha kuwa miongoni mwa shule 348 za bweni zilizoorodheshwa kwa kushindwa kutimiza viwango vya usalama, ikisisitiza kuwa ilijumuishwa kimakosa kisa haina huduma za bweni. Shule hiyo imeishtumu wizara ya elimu kwa kosa hilo, ikisema limezua wasiwasi miongoni mwa wazazi. nayo rophine group of schools, ambayo inadai kutimiza matakwa yote ya kuwa na huduma za bweni, inafanya mazungumzo na wizara ya elimu ili kutatua tatizo hilo. Wizara ya elimu pia imekosolewa na wabunge kwa kufanya tathmini zisizo za haki wala uwazi.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant