Suivant

Katika Watu Milioni 62 Walipa Kodi Milioni 2 I Sekta Binafsi na TRA Huwezi Kuzitenganisha

19/07/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Kama TPSF tunasherehekea miaka 25 ya toka kuanzishwa kwake, tukaona tutoe ripoti ya mchango wa sekta binafsi kwa miaka 25 iliyopita. Tunataka kueleza watu ni nini tumeweza kukifanya na Serikali itambue mchango wa sekta binafsi katika Taifa letu. Wiki ya Sekta binafsi kilele chake kitakuwa tarehe 23 Julai na tunatarajia kuifanya pale Superdome Masaki. Tutasherehekea mafanikio ya Sekta Binafsi kwenye kila sekta ya Uchumi wetu. Tumekuwa walipaji wakubwa wa kodi Tanzania, tunaendelea kuongoza katika kuajiri na kutoa kazi na katika uwekezaji pia hapa Tanzania" - Raphael Maganga - Mkurugenzi Mtendaji TPSF #LiveOnClouds360 #CloudsTvNiMkataba

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant