Kaunti ya Kajiado huenda ikashuhudia ongezeko la mizozo ya binadamu na wanyama pori
0
0
04/06/24
Kaunti ya Kajiado huenda ikashuhudia ongezeko la mizozo ya binadamu na wanyama pori, kufuatia ugavi wa mashamba katika eneo la Amboseli ambalo lina wanyama pori wengi. Katika makala ya wiki hii ya sauti ya mazingira, maafisa kutoka kaunti ya Kajiado, wale wa kws, na NEMA wamekuwa wakifanya operesheni katika eneo hilo ya kusitisha uwekaji ua kwenye njia za wanyama pori, ambapo wawekezaji wanaendeleza kilimo kinyume cha sheria.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par