Kenya yajiunga na taasisi ya chanjo ya kimataifa
0
0
06/06/24
Ifikapo mwaka wa 2029, usaidizi wa shirika la kimataifa linalojishughulisha na upatikanaji wa chanjo utatamatika, na hili Linasababisha takwa la kujitegemea katika utengenezaji wa chanjo. katika safari yake ya kujitegemea, Kenya leo imejiunga na taasisi ya kimataifa ya chanjo maaruf kama IVI, hatua itakayoboresha utafiti na maendeleo ya chanjo, hatimaye kuimarisha usalama wa wakenya
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par