KILA MTANZANIA KUPATA MILIONI 7 KWA MWEZI, MIAKA YA KUISHI YAONGEZEKA, DIRA 2050 MOTO...
0
0
05/04/24
Tayari kipyenga kimepulizwa kuukaribisha mchakato wa kuendea Dira ya Taifa ya mwaka 2050. Lakini swali ni je vipi utekelezaji wa Dira ya Taifa iliyopita ya 2025, umefikia wapi, umefanikiwa kwa kiwango gani, na je mambo gani yatahusika kuielekea Dira hiyo mwaka 2050. huyu hapa ndani ya PB ya Clouds FM, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrence Nyasebwa Mafuru anatupitisha kwa kina.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par