Suivant

Kinara wa Azimio Raila ataka bunge livunjwe na uchaguzi mpya kufanyik

14/07/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Kinara wa Azimio anataka bunge livunjwe na uchaguzi mpya kufanyika. Odinga akiwa na wenzake kutoka kwa muungano wa Azimio walifika katika jalala lililo na miili ya watu kushuhudia huku akitaka wahusika wakamatwe mara moja. Aidha kinara huyo ameshikilia kuwa hataki mazungumzo tena na kilichosalia ni Ruto kuondoka mamlakani.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant