Suivant

KIPATO KIMEONGEZEKA BAADA YA KUPATA MTOTO| UJIO WA ALBUM YAKE | SINA BIFU NA ABIGAIL CHAMS.

04/09/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

@marioo_tz anathibitisha ni baraka nyingi zimekuja upande wake baada ya kupata mtoto na moja kati ya baraka hizo ni kuongezeka kwa kipato katika maisha yake kwa ujumla. Kama baba, @marioo_tz anadai jukumu lake pendwa katika malezi ya mtoto wake ni katika sekta ya kumbadilisha diapers pale anapojisaidia! ????• #XXLyaCloudsFM •

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant