Suivant

KIZMKAZ FESTIVAL IMELETA AMSHA AMSHA ZANZIBAR | ONGEZEKO LA MZUNGUKO WA FEDHA

19/08/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Huwezi kutenganisha Kizimkazi Festival pamoja na sekta ya Utalii. Tukiangalia katika sekta yenyewe katika kipindi hiki imechangamka sana. Na Festival hii imekuja kuleta amshaamsha ya aina yake pengine miaka yote ambayo imepita. Kipindi hiki imekuwa kubwa na ushiriki umekuwa ni mkubwa zaidi hata ile hamasa hususani kutoka kwa makundi ya vijana imeongezeka"- Mudrick Ramadhan Soraga (@mudricksoraga), Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant