Suivant

KULA CHIPS SIO KOSA ILA ULAJI WA CHIPS KUPINDUKIA HUSABABISHA KANSA |

12/07/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Chips zimekaangwa kwenye mafuta na chips zimetokana na viazi mviringo maana yake ukila chips unakula kiasi kikubwa sana cha mafuta. Na chips sio tatizo ila tunakula kwa kiasi kikubwa sana"- Kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania @tfncTanzania, Dkt Analice Kamala Mtafiti Sayansi ya Chakula na Lishe.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant