Suivant

Kuna Mtu Alinipigia Simu Nimeshinda Bajaji | Nimepokea Zawadi Ya Jezi

27/02/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Baada ya kutabiri kikosi cha Yanga ambacho kitaanza kwenye mchezo dhidi ya CR Belouizdad @kachimbigili.kk maarufu kama Mayele amesema amepokea simu ya pongezi na taarifa ya kushinda bajaji na tiketi za michezo yote ya Yanga. Ametumia platform hii kumuomba aliyetoa ahadi amtafute

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant