Suivant

Kundi la Okoa Uchumi latishia kuandaa maandamano

07/06/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Wakati huohuo mashirika ya kutetea haki za binadamu yamependekeza kuzibwa kwa mianya ya ufisadi ili kuepuka kuwatoza wakenya ushuru zaidi. Katika kikao hapa jijini Nairobi, mashirika hayo yameapa kuelekea mahakamani iwapo maoni yao hayatazingatiwa katika kurekebisha baadhi ya mapendekezo katika mswada wa fedha wa 2024 yanayolenga kuongeza ushuru hasa katika bidhaa za kimsingi

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant