Suivant

Kwa Siku moja Dar es salaam Wanazaliwa Watoto 200 | Hospital ya Amana inahitaji kuongezewa nguvu

04/07/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

"Vyuo vikuu vya kitabibu vilivyoanzishwa nchini kwetu vimeendelea kuongezeka. Chuo kikuu Cha Dar-es-Salaam kilikuwa hakitoi Degree ya Medicine lakini sasa wanatoa, Muhimbili, Kampala, Kairuki, KCMC, Bugando na vyuo vingine wanatoa. Taasisi binafsi zimeendelea kujenga pia vyuo ili kutoa elimu kupata wataalamu wa afya. Mhe. Rais pia amewatoa baadhi ya madaktari kwenda nje ya nchi kujifunza ili kupata uzoefu wa kibingwa na amewachukua kutoka katika hospitali zetu za Serikali. Wakirudi wanakuja kuendeleza jambo hili." - Albert Chalamila - Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam #LiveOnClouds360 #CloudsTvNiMkataba

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant