LIVE: CLOUDS 360 NA KIFURUSHI CHA MWEZI DUME I MASTORI YA TOWN I WATALAAMU WANATOA MADINI I 7.1.2025
0
0
07/01/25
#CloudsDigital ipo mubashara kutoka studio ya Clouds Tv katika kipindi cha #Clouds360 na leo tuna mgeni wetu Mtifati/mwezeshaji/mshauri biashara endelevu Shadrack Ikoti na mkurugenzi mtendaji wa Capacity Lizzy Smart Watangazaji wako ni Sam Sasali, Paul James, Kijah Yunus na James Tupatupa #AsantekwaTafuu #GenCforLife
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par