Suivant

LIVE: ELIMU YA UFUNDI STADI INGEKUWA LAZIMA KUNGEKUA NA TATIZO LA AJIRA? | VETA LIVE ON PB

05/11/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Elimu ya Ufundi stadi VETA, ni Elimu ambayo inazalisha wataalam wanaotenda, Wataalam wanaofanya kinachosemwa kiwe na kisiishie kusemwa tu, lakini je inapewa nafasi Kwa kiwango hicho. Waza kama nchi hii Elimu hii ya Ufundi stadi ingekuwa ya lazima na Kila Mtanzania akapitia VETA, vipi tatizo la ajira lingekuwa linaota mizizi kiasi hiki, tungekuwa na wataalam wanasubiri kuajiriwa au tungeshuhudia ajira binafsi kama zote kitaa... Wadadisi Wa mambo wanayataja Mataifa mengi yaliyokimbia zaidi kimaendeleo yameipa nafasi zaidi Elimu hii na kuzalisha wajuzi na wataalam wanaowaza kujiajiri na sio kuajiriwa vipi sisi tunakwama wapi...? LIVE NA.. ⏭️ ANGELUS NGOYANI - Mkurugenzi wa Soko la Ajira, Mipango na Maendeleo VETA. ⏭️ SITTA PETER - Meneja Uhusiano Kwa Umma VETA. ⏭️ CLEVER PERFECT SHAYO - Meneja Tanzania Volunteers Ltd, Project Member Wa Kilimanjaro VET (Vocational Education Training). #cloudsfm #powerbreakfast #tumekuverify

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant