LIVE: JAHAZI HD | MAHD'S MJOMBA NI MAMA
0
0
19/12/24
#CloudsDigital ipo mbashara kutoka studio ya Clouds Fm katika kipindi cha #JAHAZIHD #tumekuverify unajua thamani kubwa iliopo nyuma ya neno Mama, Ni hadhi ambayo haijawahi kushuka tangu kuumbwa kwa ulimwengu Lakini hata wale wajomba kufananishwa na Mama kimisingi, inaamana kuwa tunatambua na kuthamini nguvu za wajomba hawa kwenye Malezi na mchakato mzima wa ukuaji wa watoto wetu. Lakini je, Hawa Ma’Ankoz wanajua namna Bora ya kumuunga mkono mama pindi anapokua Mjamzito??, Karibu Jahazini Leo tusikie Wajomba Wakieleza jinsi wanavyowapiga Tafu Kina Mama
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par