LIVE : JAHAZI HD | MAHD LEO WANAONGELEA PANDA SHUKA YA DOLA HALI IKOJE NA KWANINI HALI IKO HIVYO?
0
0
11/12/24
#Clouds25 #AsanteKwaTafu #GenC4Life Baada ya dollar ya Marekani kupanda mfululizo mwaka huu hadi kufika 2750 kutoka 2250, hatimaye wiki hii imeanza kushuka kwa kasi nakufikia shilingi 2490, huku ikitarajiwa kushuka zaidi siku zijazo. Kulikoni , nini kimetokea? Hii ina maana kwa mtu aliyenunua dollar wiki zilizopita kwa sasa ana hasara ya karibu 300 kwa kila dollar. Ni mjadala ambao umekua mtandaoni kwa wiki hii, lakini kwa kuwa tunawachumi wa kuelezea hili, tumezungumza na Maggid Mjengwa, hili linaloendelea sasa kwenye upande wa dola, kunatoa tafsiri gani kwenye shilingi ya Tanzania ? #Tumekuverify
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par