Suivant

LIVE: JAHAZIHD | MAHD WAPO NA MC GARAB

07/11/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

cloudsmedia #cloudsfm #cloudsdigital #leotena #tumekuverify #cloudsmedia Uwekezaji Unaweza kuwa wa maeneo mbalimbali, siku hizi michongo ya maana inapatikana pia kwenye Events na Maharusi, Yaan Best event planners wakikutana na best Couple inakua Unyama mwingi. Leo Jahazini watasikika @lavish_home_of_style & @dar_suits na mkali @mcgarab , mengi umeyaona mtandaoni juu ya harusi ya watu hawa wawili, Lakini soko la Ushehereshaji nalo limezidi kupanda thamani, Yote haya Ni kwenye #JahaziHD Time ni 18:00-21:00 , Monday - Friday via ????#CloudsFM and YouTube #CloudsMedia

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant