LIVE: JAHAZIHD | Ni cooperate Friday na FASY MASAUTI 10.01.2025
0
0
10/01/25
#cloudsdigital M #AsantekwaTafuu #gencforlife Ijumaa hii Si kama zile ulizozizoea, Hii ni Friday Special kwa watu Cooperate ambao mbali na michongo wanayofanya kutengeneza Mkwanja, Bado wanavipaji vya kukupa burudani Na Wanafanya kwa utofauti sana. Leo katika Jahazi MA'HDS, Watakua na Fasy Masuati, Mjasiriamali mwenye kipaji Cha muziki, Msanii ambae ameona Fursa kwenye michongo mingine na kuamua kuwekeza. Ni cooperate Friday na FASY MASAUTI
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par