Suivant

LIVE : Jamuhuri ya Kariakoo | Power Breakfast

27/06/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

afanyabiashara Kariakoo Jijini Dar es salaam na katika baadhi ya Mikoa nchini wameendesha mgomo wa kutofungua Maduka, wakishinikiza madai yao kufanyiwa kazi. Kuanzia dai lao la Matumizi ya Task Force kwenye ukusanyaji Wa Mapato, na madai mengine, Tayari jitihada zinaendelea kuchukuliwa na Viongozi mbalimbali Serikali. Pamoja na hatua hiyo kwanini bado migomo inashuhudiwa, tatizo liko wapi, kama issue ni Kodi ni za namna gani na kitaalamu zinatazamwaje...? Tukutane kesho kwenye #PBCloudsFM kuanzia Saa 12 Alfajiri #Tumekuverify

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant