Suivant

LIVE : KIKAO CHA DHARURA NA POWER BREAKFAST ASUBUHI HII.

25/06/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Chini ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, kinachoendelea Sasa ni kupokea maoni ya Wadau kuhusu Muswada Wa Sheria ya Fedha Wa Mwaka 2024 (The finance Bill 2024) Ukumbi Wa Piusi Msekwa, Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma unatumika kufanikisha zoezi hilo. Tayari Mkutano Wa kupokea na kusikiliza maoni ya Wadau unaendelea, umeanza tangu June 23 ni hadi Leo hii June 25 Mwaka huu Wa 2024 hii ikiwa ni Kwa mujibu Wa kanuni ya 97(2), ya kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Februari 2023. Je hali ikoje Katika mchakato huo, Muswada Wa Sheria ya Fedha wa Mwaka 2024, ni Muswada Wa aina gani, una Nini ndani yake. Kwenye #PBCloudsFm tutakuwa na Azizi Rashid, Mchambuzi, Mtafiti, Mwandishi Wa Kiuchumi.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant