Suivant

LIVE: KIKAO CHA NISHATI SAFI NDANI YA POWER BREAKFAST.

19/06/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Mei 8, Mwaka huu, Mkakati Wa Matumizi ya Nishati safi ya kupikia uliwekwa wazi, ukilenga kuteketeza miaka 10 yaani kuanzia 2024 hadi 2034, kuepuka Athari za Matumizi ya Kuni na mkaa. Tayari Wadau ndani na nje ya nchi wamejielekeza kwenye Mkakati huo, likiwemo Shirika la Umoja Wa Mataifa la Mitaji na Uwekezaji ( UNCDF), je ni Kwa namna gani Shirika hilo la Kimataifa limejiweka sawa kuhakikisha Watanzania wanajikita kwenye Matumizi ya Nishati safi ya kupikia... Kwenye #PBCloudsFM live studio tutakuwa na Emmanuel Muro - Meneja Mradi Wa CookFund na Afisa Mwekezaji Mwandamizi - Shirika la UNCDF.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant