LIVE: KUNANI KIBAHA!, HALI TETE NYUMBA ZAIDI YA 200 ZABOMOLEWA | WAZIRI WA ARDHI ANATOA MAJIBU | PB
0
0
03/06/24
Wenyeji wa Mtamba, ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha Mji, Mkoani Pwani nyumba zao zaidi ya 200 zimebomolewa na hadi sasa hawajui hatima yao, hali ni tete zaidi kwao kwani hata sehemu ya kujihifadhi ni kizungumkuti. Nini kinaendelea sasa eneo hilo, ni hatua gani zinachukuliwa kuwasaidia wananchi hao, nani wa kuwashika mkono, #PBCloudsFm tupo na Waziri wa Ardhi, nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa (@jerrysilaa)
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par