Suivant

LIVE: Leotena Aug 16 | Dawati,Zilizokiki,Chachandu & Hekaheka | Kutaza moyo Zinazizima Balaaa

16/08/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

#cloudsdigita ya clouds fm ipo mbashara kutokea Mikocheni kwenye kipindi cha #leotena Kivutio cha Tanzania leo atakuwa live kwenye #LeoTena kuanzia tano kamili asubuhi mpaka saba kamili mchana. Yote unayoyafikiria kuhusu @poshyqueeen majibu utayapata leo kuanzia tano kamili asubuhi mpaka saba kamili mchana. Waswahili wanasema: Ukijua kusoma basi ujue na kuandika. #leotena #Tumekuverify

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant