Suivant

LIVE: LeoTena | Dawatini,Zilizokiki,Chaachandu,Hekaheka & Pamoja na Amana Hospital Sababu Muhimu

14/08/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

#cloudsdigital ya clouds fm ipo mbashara kutokea Mikocheni kwenye kipindi cha Moja kati ya mjadala muhimu leo ni kuhusu ujenzi wa Amana Hospital na kwenye #LeoTena tutakuwakutanisha Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Omary Kumbi la Moto pamoja na DC wa Ilala Mhe Edward Mpogolo. Kuanzia nne kamili asubuhi mpaka saba kamili mchana #leotena #AMANAHOSPITAL #Tumekuverify

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant