Suivant

LIVE: MJADALA WA MBOWE NA LISSU WAPAMBA MOTO I HUKU JEBRA KAMBOLE KULE YERICKO NYERERE I 8.1.2025

08/01/25
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

#CloudsDigital ipo mubashara kutoka studio ya Clouds Tv katika kipindi cha #Clouds360 na leo tuna wageni Jebra Kambole wakili na mchambuzi wa siasa na Yericko Nyerere mwanachama CHADEMA Watangazaji wako ni Sam Sasali, Paul James, Kijah Yunus na James Tupatupa #AsantekwaTafuu #GenCforLife

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant