LIVE: NDANI GOSPEL TRAXX NA KWAYA KONGWE TANZANIA YA MAPIGANO ULIYANKULU NI FIRE 16 / 04 / 2025
0
0
16/03/25
Jumapili hii kwenye #GospelTraxx tutakuwa na kwaya kongwe na Maarufu Tanzania Mapigano Uliyankulu ambao wapo Dar-es-Salaam kwa ajili ya uzinduzi wa Albamu yao mpya. Unakosaje #GospelTraxx Jumapili hii kuanzia saa 12:00 asubuhi mpaka saa 3:00 asubuhi na tutakuwa live kwa YouTube ya Clouds Media.#AsanteKwaTafuu
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par