LIVE :NEWS FLASH DEC 11,2024 NA ALLY KASHIMIRY
0
0
11/12/24
#Clouds25 #AsanteKwaTafu #GenC4Life · RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi asema dira ya 2050 imebeba ndoto za watanzania. · Waya wa umeme waua mtoto wa mwaka mmoja na miezi nane na mwengine wa miaka miwili ajeruhiwa. · Iran yazishutumu Israel, Marekani kwa anguko la Assad kwanza. Jioni za Wacloudsania wahafidhina wa maudhui ya Taarifa na Habari zimebebwa na @Ally__kashmiry ambaye ataziwasilisha hizi na nyinginezo kupitia News Flash ya @CloudsFmtz #Tumekuverify
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par