Suivant

LIVE: NEWS FLASH DEC 19,2024 NA MAHIJA ZAYUMBA

19/12/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

#CloudsDigital ipo mbashara kutoka studio ya Clouds Fm katika kipindi cha #xxl HEADLINES NEWS FLASH .News Flash leo inaanzia jijini Dar es Salaam ambapo, Waziri MKuu Kassim Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuaga mwili wa marehemu John Billy Tendwa ambaye aliwahi kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini. .News Flash sasa inaelekea mkoani Shinyanga ambapo, Wadau wa sekta ya afya Mkoani Shinyanga kwa Kushiriakiana na Serikali wameanza kufanya utekelezaji wa afua za kuwa kwamua kiuchumi Mabinti wanaoishi katika Mazingira duni ili kuwawezesha kujikimu na kuondokana na wimbi la umasikini. .Katika viunga vya kimataifa tunaangazia Nchini LIBERIA ambapo imetajwa kuwa Spika wa Bunge la Wawakilishi ambaye yupo kwenye mvutano wa Kisiasa, amehojiwa na jeshi la Polisi baada ya moto mkubwa kuteketeza sehemu ya Jengo la Bunge ikiwa ni siku moja baada ya mpango wa kumuondoa katika nafasi hiyo kwa tuhuma za Rushwa. Ni @zayumba_m ndio mwenye Mamlaka ya jioni za taarifa kupitia #NewsFlash ya Radio ya Watu @cloudsfmtz #NewsFlashCloudsFm #Tumekuverify

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant