Suivant

LIVE: NEWS FLASH OCTOBER 24, 2024 NA MAHIJA ZAYUMBA

24/10/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

NEWS FLASH HEADLINES* • Makamu wa Rais Dkt Phillip Mpango ameliagiza Jeshi la Magereza kuondoa dhana ya udhalilishaji ya matumizi ya ndoo magerezani kama Choo. • Fomu za wagombea wa nafasi za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zitaanza kutolewa kuanzia October hadi November Mosi mwaka huu. • Waasi wa M23 wameuteka mji wa Kalembe Mashariki ya Kongo. Ni @zayumba_m ndio mwenye Mamlaka ya Jioni za Taarifa kupitia #NewsFlash ya Radio ya Watu @CloudsFmtz

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant