Suivant

LIVE: Ongezeko la Watu Nchini Linavyoathiri Sekta ya Elimu | PB ya Wasomi

15/05/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Je ongezeko la Watu nchini kwenye Sekta ya Elimu linatupanga au tumejipanga. Nini kifanyike kuhakikisha mipango thabiti kwenye Sekta ya Elimu kuendana na ongezeko la watu, ili tusingoje ya kupangwa Kwa sababu hatujajipanga... Tukutane kesho kwenye #PbCloudsFm kuanzia Saa 12 Alfajiri

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant