Suivant

LIVE: POWER BREAKFAST NA WWF I 20/12/2024

20/12/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Ni Ijumaa Maalum ambayo inaonyesha ni Kwa kiwango gani Dunia inaendelea kupambana kuyaweka mazingira sawa, na kupitia PB kesho ujumbe Maalum Kwa Kila Mtu utatumwa kuonyesha namna mazingira yanavyojitahidi kuwa nawe Kila siku. Ni Ijumaa Maalum ya kuona namna Mazingira yanavyotupenda lakini Kuna baadhi ya watu Ambao hawathamini kabisa upendo wake lakini kongole Kwa wote waliochagua kuyapa upendo Wa dhati Mazingira. Je ni Kwa namna gani watu wanauelewa wa kutosha kuhusu mazingira na je wanashiriki ipasavyo kuyalinda...? Kwenye PB kesho ujumbe Maalum unatumwa Live kutokea Ofisi za WWF zilizoko Mikocheni, Jijini Dar es salaam, tuko na ... ⏭️ MAUREEN MBOKA - policy and Advocacy Officer (VFD) WWF - Tanzania. ⏭️ ZUHURA AHMAD - Global Ambassador - Youth for Nature. ⏭️ STEVEN KAPINGA - Member - Tanzania Youth Biodiversity Network. #PBCloudsFM #GenCForLife

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant