Suivant

LIVE: POWER BREAKFAST YA CLOUDS FM | MWISHO APRILI,2025 |

28/10/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Benki Kuu ya Tanzania tayari imeweka wazi juu ya zoezi la kuondolewa kwenye Mzunguko noti za Zamani, zikiwemo Shilingi 20, 200, 500, 1,000, 2000, 5,000, 10,000, ikiwa ni matoleo ya Mwaka Wa 1985 hadi ule wa 2003.. Kuanzia January 06 ya Mwaka ujao hadi April 05 ya Mwaka huo huo wa 2025, zoezi linatarajiwa kuendeshwa, lakini Je ni kwanini noti hizo zinaondolewa .?

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant