Suivant

LIVE: POWER BREAKFAST YA CLOUDS FM | SERIKALI YA KITAIFA IKO VERIFIED ?

18/07/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Serikali ya Umoja Wa Kitaifa Visiwani Zanzibar, ni kama iko mashakani, hii ni baada ya Chama Cha Act Wazalendo kutishia kujiondoa, Kwa madai ya kutoridhishwa na baadhi ya makubaliano yaliyofikiwa Katika Serikali hiyo ya Umoja Wa Kitaifa. Visiwani Zanzibar Chama Cha Act Wazalendo Kiko chini ya Mwenyekiti wake, Othman Masoud Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza Wa Rais Wa Zanzibar.. Je ni yapi hayo yanayokisukuma Chama hicho Cha ACT - WAZALENDO kutishia kujiondoa, ni ipi hatima ya ACT Katika Serikali ya Umoja Wa Kitaifa, je mipango ya kujiondoa bado ipo kama ipo imefikia wapi... Kwenye PB Live kutokea Visiwani Zanzibar, tuko na Makamu wa Kwanza Wa Rais Wa Zanzibar, Othman Masoud Othman #PBCloudsFM #Tumekuverify

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant