LIVE: PURUKUSHANI ZA MAISHA KABLA YA NDOA | NI KIKAO CHA MABACHELA KWENYE POWER BREAKFAST
0
0
07/06/24
Shauku ya Wengi kama si wote ni siku Moja kuingia kwenye baraka ya kuoa au kuolewa hatimaye aitwe Mke au Mume. Lakini wakati wa kusubiri kipindi hicho kifike yaani ukiwa katika Nyakati za usingo, Miaka ambayo hujaoa au kuolewa unaishi ishije unasubiriaje wakati sahihi wa ndoa. kwenye #PbCloudsFm tupo na Rebecca Owigo - Mwandishi wa Kitabu Cha "Wakati Unasubiri" ambae pia ni Mwalimu wa Mahusiano ya Vijana na Mabinti.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par