Suivant

LIVE: Uhusiano wa Mkulima Na Mfugaji | Power Breakfast

02/07/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Morogoro na Tanga ni baadhi ya Mikoa ambayo imefikwa na Mivutano hiyo ya Mkulima kuwa kero kwa Mfugaji na hata Mfugaji kuwa kero kwa Mkulima.. Wamasai wamechagua kuingiza miguu yote miwili kuhakikisha Migogoro baina yao na wakulima inabaki kuwa historia na kuupa kisogo ufugaji wa kimazoea. Je? ni mbinu ipi inatumika kwenye kumaliza mivutano hiyo ambayo imegharimu maisha ya watu mara kadhaa. Viongozi hawa wa Kimasai watashare nasi kwenye PB undani wa mbinu na mikakati hiyo… ➡️ Ngobere Msamau – Mwenyekiti Chama cha Wafugaji CCWT - Pwani. ➡️ Lulengo Kifumbo– Naibu Katibu CCWT – Pwani. #Tumekuverify

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant