Suivant

Maandamano ya kupinga mswada wa fedha ni kesho

18/06/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Siku chache tu baada ya kusomwa kwa bajeti ya mwaka wa 2024/2025 na siku mbili kabla ya kupigwa kwa kura ya mswada wa fedha wa 2024 wakenya wengi ambao wametamaushwa na mswada huo wa kifedha sasa wanajikusanya kupitia heshtegi ya reject Finance Bill 2024 katika mitandao ya kijamii huku maandamano ya kupinga mswada huo yakiratibiwa kufanyika kesho nje ya makao ya bunge wakati mswada huo utakua unawasilishwa mbele ya bunge

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant