Suivant

MABINTI WA KIAFRIKA WANACHANGAMOTO NYINGI | WENGI WANAPENDA SHORT CUT MAISHA HAYAPO IVO.

15/07/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Cc: @lydiaCharles_, Mkurugenzi Mtendaji na mwanzilishi wa Taasisi ya @herinitiative "Moja ya kitu ambacho kimenisaidia ni kujifunza kuhusiana na mchakato natamani wazazi na walezi kuwafundisha vijana na watoto wetu juu ya mchakato. Mara nyingi tumekuwa tukipenda vitu vya mkato, haraka lakini kiuhalisia maisha hayako hivyo ni vitu vinachukua muda. "Nilivyokuwa nikipitia hizo changamoto nilikuwa naona nipo kwenye safari na hii ni sehemu ya mchakato na ukishaelewa hivyo chochote unachokipitia hukifanyi kuwa personal unaona ni sehemu tu ya maisha ni changamoto"

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant