Madaktari nchini waapa kuendelea na mgomo
0
0
15/04/24
Matamshi ya Inspekta Jenerali mkuu wa polisi Japheth Koome kuharamisha maandamano ya wahudumu wa afya wanaogoma, yamezua hisia kali huku madaktari wakiapa kuendelea na mgomo. Viongozi wa miungano tofauti wametoa taarifa ya pamoja hii leo kukashifu koome huku madaktari kaunti ya Uasin Gishu wakiandaa mandamano pasipo kuzuiliwa na polisi.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par