Madktari kugoma wiki ijayo maslahi yao yasiposhughulikiwa
0
0
05/03/24
Mnamo jumatatu tarehe kumi na mbili mwezi huu, madaktari nchini kote wataanza rasmi mgomo, wakifuatiwa na vyama vingine vya afya katika muda wa wiki mbili,wakitaka madaktari wanagenzi waakiri mzozo huu unaoongezeka unatokana na madai ya hazina ya kitaifa kushindwa kutoa pesa za kuajiri kundi hilo
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par