Suivant

Maelfu ya vijana wa Gen Z wajitokeza uwanja wa Uhuru Park kwaa maadhimisho

07/07/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Maelfu ya vijana wa Gen Z walijaza uwanja wa uhuru park kuisherekea siku ya sabasaba kwa namna ya kipekee mwaka huu. Misalaba 41 ikiwa ishhara ya vijana 41 waliopoteza maisha yao katika maandamno ya kupinga mswada wa fedha wa 2024, sambamba na wanachokitaja kuwa uongozi dunihafla sawia ilifanywa katika kaunti ya Kisumu, lengo kuu likiwa kuwaomboleza shujaa waliopoteza maisha yao katika maandamano

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant