Suivant

Mahakama kuu yaagiza Gakuye na Mejja Donk wasikamatwe

06/08/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Mahakama kuu imezuia polisi kuendelea kumtia mbaroni na kumzuilia mbunge wa Embakasi kaskazini james mwangi gakuya na mwenzake wa embakasi ya kati benjamin Gathiru Mejja Donk, ambao walikuwa wakichunguzwa kuhusiana na ufadhili wa maandamano ya Gen Z. Uamuzi huo umepunguza shinikizo linaloonekana kuwa likiongezeka kwa washirika wa naibu rais, huku wawili hao wakifikisha idadi ya wandani wa gachagua waliohojiwa kuwa watano.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant