Suivant

Mama auawa Kikatili Buruburu Nairobi na mwengine kudhulumiwa kwa Kuchomwa na maji moto Naivasha

28/02/24
K24 TV
Dans Afrique / Kenya

Maafisa wa polisi kituoni Buruburu hapa jijini Nairobi wanamzuilia mwanamume kwa kumdunga visu mkewe na kumuua. Mshukiwa alijaribu kujiua kwa kujikata shingo ila sasa anapokea matibabu katika hospitali ya Mama Lucy akiwa katika hali mahututi. Katika balaa hiyo mtoto wa miezi miwili alinusurika kifo.

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant