Suivant

Mamia Wamlilia Didah | Dida Alikuwa Hodari Kwenye Tasnia Ya Habari

04/10/24
CLOUDSMEDIA
Dans Afrique / Tanzanie

Tutaonana baadae Legend ???????? Dida atakumbukwa kwa Uhodari wake na Ubora wake Kwenye Tasnia ya Habari, Uliompelekea Kuwa Mtangazaji Namba Moja wa Kike Nchini na Kuwa Kioo kwa Wanawake na Watangazaji Wengi waliokua wanamtazama kama Mfano . Tunaungana na Ndugu , Jamaa na Marafiki Wote Kusheherekea Maisha Ya DIDA , Na Kuenzi Yale Mengi Mazuri aliyoyafanya Kwenye Jamii na Tasnia ya Uandishi wa Habari . Tunamuombea Mungu ailaze Roho yake Mahala Pema Peponi , Amen . #KwaheriMalkiaWaKipaza #TutaonanaBaadae

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant